Taacici
Monday, 30 September 2013
DARASA NA BECA WASHILIKISWA NA TAACICI KWENYE WIMBO WAKE MPYA.
MSANII KUTOKA NYANDA ZA JUU KUSINI TAACICI AMEACHIA WIMBO WAKE MPYA UITWAO HOMA YA MOYO NDANI KAWASHILIKISHA DARASA NA BECA IBROZAMA, BONYEZA KITUFE APO CHINI KUUPATA WIMBO HUO.
Taacici
Taacici
Wednesday, 21 August 2013
DIAMOND, ROMA, STAMINA, RECHO NA WENGINE KIBAO KUTOKOMEZA ZIRO KUPITIA VIPAJI VYAO.
LIST YA WALIOFANYA WIMBO WA TAOKOMEZA ZIRO
Thursday, 15 August 2013
WIMBO WA SAIDA KAROLI ULIOTUMIKA KAMA SOUNDTRACK KWENYE FILAMU MPYA YA KIAMERIKA.
WIMBO UITWAO MARIA SALOME WA SAIDA KAROLI UMETUMIKA KWENYE FILAMU MPYA YA KOMEDI HUKO AMERICA IITWAYO PEEPLES.
Sunday, 21 July 2013
Saturday, 6 July 2013
UJIO MPYA WA DARASA KUMSHIRIKISHA DITTO
click link iyo apo chini uweze kumsikia darasa akikwambia weka ngoma.
Darasa_ ft_ lameck Ditto_ Weka Ngoma__ _Produced by Tudd Thomas
Darasa_ ft_ lameck Ditto_ Weka Ngoma__ _Produced by Tudd Thomas
Darasa na tudd Thomas baada ya upishi wa wimbo huo!
MATUKIO YA USIKU WA TUDD THOMAS.
NI USIKU ULIOPENDEZESHWA NA WA SANII KIBAO NDANI YA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA......!

Izzo Business akipagawisha mashabiki.

Chegge Chigunda akiwapa kitu cha take away

Bella (kushoto) na Jini kabula
![]() | |||||||||||||||||||||||
Linex sunday mjeda akiwapa raha mashabiki. |

mashabiki

Makomandoo wakipagawisha mashabiki kwakucheza.

Amini akionyesha uwezo wake

Quick racka akiwapagawisha mashabiki.

Madancer wa tunda man wakionyesha uwezo,

Tunda man kuwapa raha mashabiki

Queen Darleen akiwadatisha na kokolo.
.
Sunday, 30 June 2013
TUDD THOMAS NA FAINALI LA KOMBE LA FIFA CONFIDERATION CUP!
FAINALI YA KOMBE LA FIFA KUONYESHWA LIVE KUPITIA BIG SCREEN ILIYOPO DAR LIVE KATIKA USKU WA TUDD THOMAS.
Fifa Confideration Cup
Brazil na Spain leo saa saba usiku.
Saturday, 29 June 2013
AMSHA AMSHA YA USIKU WA TUDD THOMAS!
Maandalizi ya usiku wa Tudd Thomas utakao fanyika ndani ya ukumbi wa DAR LIVE mbagala zakiem.
Thursday, 27 June 2013
IMEBAKI SIKU MOJA KUHUSHUDIA USIKU WA 'TUDD THOMAS' DAR LIVE.
Wasanii kibao wakali wa bongo flava na bongo muvi kuupendezesha uskiku huo ndani ya ukumbi wa Dar live mbagala bila kumsahau mshindi wa 'BSS' WALTER CHILAMBO ndani na wengine kibao!
Mlangoni buku saba (7000/=) tu!
Monday, 17 June 2013
TUDD THOMAS MWISHO WA ZIRO
Tudd Thomas akiwa studio na bongo stars kwenye uandaaji wa wimbo mpya wa kutokomeza ziro.
Tudd thomas, Quick racka na keisha wakiwa studio.
Tudd Thomas akiwa studio
Friday, 31 May 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)