Blogger Widgets

Sunday 17 March 2013

TUDD THOMAS ATOA SIRI YA MAFANIKIO YAKE

Najua nikizungumzia ma producer wakali katika tasnia hii ya muziki hapa bongo basi Tudd thomas atakuwa katika list yangu,sasa leo baada ya kuchonga naye aliweza kunieleza siri ya mafanikio yake katika muziki wa hapa bongo.Alisema kwamba katika maisha yake atosahau kitu kinachoitwa ngoma kwani alieleza hizo ndizo zimemfanya hii leo kujulikana katika tasnia ya muziki na kufanya kazi za wasanii mbalimbali.

No comments:

Post a Comment