Blogger Widgets

Saturday, 6 July 2013

UJIO MPYA WA DARASA KUMSHIRIKISHA DITTO

 click link iyo apo chini uweze kumsikia darasa akikwambia weka ngoma.

Darasa_ ft_ lameck Ditto_ Weka Ngoma__ _Produced by Tudd Thomas
Darasa na tudd Thomas baada ya upishi wa wimbo huo!

MATUKIO YA USIKU WA TUDD THOMAS.


 NI USIKU ULIOPENDEZESHWA NA WA SANII KIBAO NDANI YA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA......!

Izzo Business akipagawisha mashabiki.



Chegge Chigunda akiwapa kitu cha take away

 
Bella (kushoto) na Jini kabula
Linex sunday mjeda akiwapa raha mashabiki.
















mashabiki  

http://api.ning.com/files/uitupUukk-8FvE9dCXxdXn4wcoJ-TAQc00Q0Mr0NHktHHc3od2JKQwI6DiNinZW1uo9ZIkV7HhSLt0o6kXtR7v6Q77JJed7B/USIKUWATUDDTHOMASDARLIVE20136.jpg 
Makomandoo wakipagawisha mashabiki kwakucheza.

 
Amini akionyesha uwezo wake

 
Quick racka akiwapagawisha mashabiki.

Madancer wa tunda man wakionyesha uwezo,
 
Tunda man kuwapa raha mashabiki

 
Queen Darleen akiwadatisha na kokolo.
.

Sunday, 30 June 2013

TUDD THOMAS NA FAINALI LA KOMBE LA FIFA CONFIDERATION CUP!

FAINALI YA KOMBE LA FIFA KUONYESHWA LIVE KUPITIA BIG SCREEN ILIYOPO DAR LIVE KATIKA USKU WA TUDD THOMAS.
 Fifa Confideration Cup

Brazil na Spain leo saa saba usiku.


Saturday, 29 June 2013

AMSHA AMSHA YA USIKU WA TUDD THOMAS!

Maandalizi ya usiku wa Tudd Thomas utakao fanyika ndani ya ukumbi wa DAR LIVE mbagala zakiem. 
Mashabiki wa Tudd Thomas.



baadhi ya mashabki wa Tudd Thomas.

Thursday, 27 June 2013

IMEBAKI SIKU MOJA KUHUSHUDIA USIKU WA 'TUDD THOMAS' DAR LIVE.

Wasanii kibao wakali wa bongo flava na bongo muvi kuupendezesha uskiku huo ndani ya ukumbi wa Dar live mbagala bila kumsahau mshindi wa 'BSS' WALTER CHILAMBO ndani na wengine kibao!
Mlangoni buku saba (7000/=)  tu!

Monday, 17 June 2013

TUDD THOMAS MWISHO WA ZIRO

Tudd Thomas akiwa studio na bongo stars kwenye uandaaji wa wimbo mpya wa kutokomeza ziro. 

Tudd thomas, Quick racka na keisha wakiwa studio.


Tudd Thomas akiwa studio

Sunday, 17 March 2013

TUDD THOMAS ATOA SIRI YA MAFANIKIO YAKE

Najua nikizungumzia ma producer wakali katika tasnia hii ya muziki hapa bongo basi Tudd thomas atakuwa katika list yangu,sasa leo baada ya kuchonga naye aliweza kunieleza siri ya mafanikio yake katika muziki wa hapa bongo.Alisema kwamba katika maisha yake atosahau kitu kinachoitwa ngoma kwani alieleza hizo ndizo zimemfanya hii leo kujulikana katika tasnia ya muziki na kufanya kazi za wasanii mbalimbali.